141,600.00
Bima ndogo ya bajaji na Bima ndogo ya guta zote zinafanana bei, na hii ni kwasababu zote ni pikipiki za matairi matatu . Bajaji au Geta ya biashara ni Tsh 141,600/=Bajaji au Guta ya Binafsi ni Tsh 88,500/=